MISUNGWI IMEBADILIKA
Wilaya ya misungwi imetoa takwimu ya kupokea mapato makubwa ambayo hayajawahi kutokea Maelezo hayo yametolewa na mwenyekiti wa halmashauri wilaya ya misungwi mhe, kashinje huku akipongeza maagizo ya mhe Rais samia ya kuzifanya halmashauri kutilia mkazo mapato Mhe diwanni kata ya Usagara
