NYASHISHI YATAKA MABADILIKO




 Umoja wa vijana nyashishi kupitia mwenyekiti wao stephano kulwa wiliam amesema anaupongeza sana safu ya uongozi alionao kwani no vijana wenye maono na amewataka kumuunganga mkono kwenye mabadiliko hayo huku mwenyekiti huyo akimpongeza diwani wa kata ya Usagara mhe KASHINJE kwa kuwa karibu na viongozi wa nyashishi kila hatua maneno hayo ameyasema alipokuwa anaanzisha kampeni ya kuhamasisha nyashishi ya kijani kwa kuweka bendera kona kwa kona mtaa kwa mtaa

Maoni

Chapisha Maoni